momosgossip. Powered by Blogger.

Tuesday, October 9, 2012

DIANA EXAVERY-''NAHITAJI KUWA HURU NA NDO MAANA SINA MUME WALA BOY FRIEND"

 


MWIGIZAJI wa filamu katika tasnia ya filamu Diana Exavery anasema kuwa kazi yake ya filamu anavyoipenda anahitaji kuwa huru zaidi, kufuatia kupata uhuru huo inamradhimu kutokuwa na mahusiano na mwanaume yoyote kwani kwa kukubali kuwa chini ya mwanaume hatakuwa huru na kufanya kazi zake.“Katika maisha yangu nahitaji sana kuwa huru na uhuru najua unapatikana pale mtu anapokuwa hana mahusiano na mwanaume, hilo ndilo naliona kwangu sahihi kwani ninapokuwa huru sipati mtu wa kunisumbua na kunizuia kazi zangu za sanaa kwa ujumla,”anasema Diana.

Msanii huyu alianza kung’ara katika filamu ya Mtunis iliyojulikana kwa jina la Best Wife, baadae alishiriki katika filamu ya Mrembo kikojozi, pia filamu ya Yatima asiyestahili, n.k

0 comments:

Post a Comment