momosgossip. Powered by Blogger.

Friday, October 26, 2012

NDOA YA DJ CHOKA YAINGIA DOSARI.....KISA NI MSICHANA ANAYETISHIA KUSAMBAZA PICHA ZA UCHI



HAYA NI MANENO YA DJ CHOKA KUHUSU MKASA UNAOMKABILI HIVI SASA

"Naomba kusema hivi, kuna msichana anayejiita AMANDA GREEN humu Facebook ananichafulia sana na anaonyesha anatuma picha chafu kwa msichana niliyeachana nae ambaye anaitwa KENZO na kumwambia yeye ni msichana wangu so huyo Kenzo aachane na mimi na anazidi kutuma hizo picha chafu kwa watu ili nionekane mimi ndio ninazo hizo picha na nimempa huyo AMANDA ili awaonyeshe watu.
Haitoshi sijui kapata wapi namba ya mke wangu Mama Kijacho na amemtumia ujumbe kwenye simu yangu na kumwambia kuwa aachane na mimi eti mimi malaya na anataka kumtumia hizo picha chafu mke wangu.

Sasa cha ajabu nachoshangaa namba hii 0778 105 357 anayoitumia kutuma massage inakuwa haiko hewani na ukiipiga inasema Call Divert.


KAMA WEWE NI RAFIKI WA HUYU MTU MWAMBIENI HIVI LEO AMENIKUTA KWENYE GOOD MOOD LAKINI NASUBIRI HIZO PICHA AMBAZO AMESEMA ANATAKA KUMTUMIA MKE WANGU."

0 comments:

Post a Comment